Rapa Lil Kim amefunguliwa mashtaka na mchoraji mmoja mwenye asili ya Canada, kwa madai kuwa ameiba picha yake na kuitumia katika kasha lake la juu ya albamu yake ambayo alikuwa anatarajia kutoa hivi karibuni.
Mchoraji huyo Samantha Ravndah amesema Kim ametumia mchoro unaofanana na picha yake kwa kila kitu katika kasha bila ya kumtaarifu.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








