Google PlusRSS FeedEmail

KANYE WEST AMTUNGIA WIMBO BLUE IVY


Mara baada ya mtoto wa muimbaji Beyonce na Jay Z, Blue Ivy kutimiza miaka 2 January 7 mwaka huu Rapper Kanye West ambaye pia ni rafiki wa karibu wa familia hiyo ameamua kumpa zawadi mtoto huyo kwa kumtungia wimbo maalumu.

Kanye ametoa zawadi hiyo maalumu kwa mtoto huyo kwa kuwa alitaka kumpa kitu cha tofauti mtoto huyo wa rafiki yake huyo ambaye teyari ameshatimiza miaka miwili.

Kwa mujibu wa gazeti la Dail Star, ilidai kuwa wimbo huo ni kwa ajili ya mtoto huyo hivyo hautotoka kwa ajili ya mashabiki.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging