Google PlusRSS FeedEmail

MAHEEDA MAISHA YA UTOTO YAMEMPA FUNZO

Mwanamuziki Caroline Sam 'Maheeda' ameeleza kuwa maisha yake ya utotoni ni zaidi ya Chuo cha Mafunzo, huku akidai kuwa ndio sababu ya mafanikio.

Alisema kuwa hakuwahi kumuona baba yake na mama yake walifarikia akiwa mdogo alilelewa kwenye vituo vya watoto yatima na alipofikisha miaka 14, aliamua kuingia mitaani ambako alifanya kazi nyingi ikiwemo ukahaba, muhudumu wa baa mambo ambayo anayachukulia katika mtazamo tofauti na imemfanya awe na mafanikio.

"Ni ngumu kupata mafanikio huku ukiwa na taswira mbaya lakini kwangu hiyo imekuwa ni ngao yangu ya mafanikio nikipambana nisirudi tena huko" alisema Maheeda.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging