MTAMBUE HUYU DEMU ANAYEMFANYA ALLY KIBA ASISIKIKE?
Posted on by Zourha Malisa
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye hivi sasa amekuwa kimya kwa kukaa muda mrefu bila ya kutoa nyimbo Ally Kiba jana ametuma picha kwenye mtandao wake wa Inastagram ukimuonesha yupo na binti ambaye inadaiwa kuwa ndiye mpenzi wake.