Google PlusRSS FeedEmail

ROSE NDAUKA AFUNGUKA MARA BAADA YA KUJIFUNGUA

                           
Rose Ndauka nyota wa filamu Bongo amefunguka kwa kuwaasa wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba na kuzaa kwani kufanya hivyo hakuathiri sanaa yao ya uigizaji, anasema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu nyota hawataki kuzaa hata wale waliozaa kabla ya kuwa nyota hawapendi kujulikana kama wamezaa, kitu ambacho hakina maana yoyote katika maisha ya msanii bali ni kujichelewesha tu.

Mimi sijui ni kwa nini baadhi ya Mastaa hawataki kuzaa, na hata kuingia katika kashifa ya utoaji mimba, pengine ni muda wanasubiri wakati ukifika kama unawangoja watazaa, twenda kwenda kwa stage kama vile mtoto akiwa na miaka 12 ataenda hadi 18 si mtoto tena, ni suala la kujipanga tu, kama una kipaji kipo tu hakiwezi kupotea sababu eti ya kuzaa,”anasema Rose.
                  
Msanii huyo amezidi kusema kuwa kadri umri unavyokwenda na fursa ya kuzaa inapotea, wengi hawajui umuhimu wa kuzaa na uoga wa majukumu anasisitiza kuwa kuwa na mtoto na ukamlea ni faraja, anasema wanahitaji kupitia hatua walizopitia wazazi wao kama mama anayestahili kuwa na malezi kwa mwanaye kumpenda na suala la kazi litakuwepo tu, Rose hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen.baba wa mtoto 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging