Google PlusRSS FeedEmail

FOMU ZA KUSHIRIKI TAMASHA LA ZIFF ZAANZA KUTOLEWA

              ZIFF 2014

Tamasha  kubwa la filamu kwa nchi za majahazi Zanzibar International Film Festival (ZIFF 2014) linawakaribisha watengeneza filamu wote kuchukua fomu za ushiriki wa tamasha hilo kubwa na la kimataifa, linarotajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa sita.

Ni wakati mwingine wa kukutana na watengenezaji wa kimataifa wanaotoka India, Pakistan, South East Asia, Arabian Peninsula, The Persian Gulf, na bahari ya India. Filamu kutoka Bara ulaya, America ya Kusini na Australia, ni tamasha muhimu sana kwa maendeleo ya tasnia ya filamu Tanzania  ni vema Watanzania kushiriki.

Filamu zinazotakiwa kushiriki ni zile zilizotengenezwa baada mwaka June 2011, Ziff imelenga kujenga na kukuza utamaduni wa Taifa kupitia kazi za makala, filamu

Filamu fupi hivyo kazi hizo zinatakiwa ifikapo tarehe 1 April 2014 ziwe zimepokelewa na kuingia katika mchakato wa ushindani.

Unaweza kuingia katika mtandao wa ZIFF ambao ni www.ziff.or.tz pia waweza kuwasiliana kwa
ZIFF- Ngome Kongwe
P.O. BOX 3032,
ZANZIBAR, TANZANIA
Tél: (255) 773 411 499 / Fax: (255) 777 419 955
Email: filmdept@ziff.or.tz

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging