Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU 'MJAMZITO'?


Msanii maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu ambaye anazua mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na kuuza vicha vya habari katika baadhi ya magazeti pendwa hivi karibuni baada ya kudaiwa kurudiana na mpenzi wake ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum imedaiwa kuwa ni mjamzito.

Msanii huyo ameshindwa kuficha hisia zake na hatimaye kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe unaoashiria mabadiliko ya mwili wake.





This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging