JAYDEE 'AJIFUA' Posted on by Zourha Malisa Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee ameanza kufanya mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake vizuri, na pengine labda kukamulisha jina lake la komando