MZUNGU 'ABEMBEA'
Mzungu ambaye hakuweza kutambulika jina na uraia wake akionekana amelewa kwa madai ya kutumia dawa za kulevya madawa ya kulevya yasiyojulikana akiondoka eneo la tukio baada ya kukutwa na kamera , Mzungu huyo alikutwa hoi mchana jana katika mgahawa ulioko karibu na eneo la Mnara wa Askari, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam.








