Google PlusRSS FeedEmail

WYRE, CHAMELEONE, RADIO NA WEASEL WAMEINGIA KATIKA TUZO ZA DUNIA


WASANII wawili kutoka nchini Kenya Wyre, na Jose Chameleone wa Uganda ni miongoni mwa wanamuziki wa Afrika walioingia katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume katika tuzo za muziki za dunia, huku Radio& Weasel wakiwania kipengele cha kundi bora la muziki.

Wyre na Chameleone watachuana na wanamuziki wenye majina makubwa kimataifa katika kipengele hicho kama vile Jay Z, Kendrick Lamar, Justine Bieber, Chris Brown, Kanye West, Trey Songs na wengine.

Radio na Weasel wao wanachuana na makundi makubwa zaidi ya 240 duniani, yakiwemo Backstreet Boys, Bon Jovi, Boyzone, Destiny’s Child, Mafikizolo na P-Square.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging