Google PlusRSS FeedEmail

BODI YA FILAMU YAPAMBA MOTO

              Joyce fisso

Baada ya watayarishaji wa filamu siku za nyuma kutengeneza filamu kihorera bila kufuata sheria, sasa wameitikia mwito na kumiminika kwa kasi kwa ajili ya kukagua kazi zao, Bodi ya ukaguzi wa filamu kwa mwaka 2012/13 ilipokea zaidi ya filamu 435 ni sawa Cd 870, ikiwa ni ongezeko la filamu 96 ni sawa ni 339 (678).

Aidha kati ya Julay 2013 hadi January 14 2014 jumla ya filamu 570 ziliwasirishwa, zikiwemo filamu 263 zilizopelekwa sokoni kinyume na utaratibu, ikiwa zilikiuka sheria iliyowekwa ya mwaka 1976 namaba 4 kwa maana walivunja sheria .

Kuanzi January 14 mwaka 2014 jumla ya filamu 1,059 ambazo ni sawa na Cd 2,118 zilipokekewa kwa uchaguzi, zikiwemo na filamu kutoka nje na za ndani, kwa mwaka 2011 hadi January 14 mwaka 2014 idadi ya filamu 123 za ndani sawa na asilimi 5.8% ya filamu zote zilizopewa maelekezo kufanyiwa marekebisho.

Aidha jumla ya filamu 7 za ndani hazikuruhusiwa kuingia sokoni 2011 hadi 2013 sawa na asilimia 0.33 ya filamu zote zilizowasirishwa kwa ajili ya ukaguzi Bodi ya Filamu ya ukaguzi na michezo ya kuigiza.

Mwaka 2013 hadi 2014 January hakuna filamu iliyozuiliwa kwa maana ya kukaguliwa, jumla ya filamu 16 kwa mwaka 2013/14 zilipewa maagizo kwa ajili ya kufanyia marekebisho, kati ya filamu hizo 16 ni filamu 2 bado hazijapokelewa na Bodi baada ya marekebisho hayo, ambazo ni Mv Spice na Nimekubali Kuolewa.


KWA HISANI YA FC

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging