Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma.Chazo cha ajali kilitokana na yeye kumgonga kijana aliyekua akiendesha basikeli na matokeo yake gari aliyokua akiendesha kupinduka mara 3.Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.