ASHA BARAKA AFUNGA NDOA NA MFANYABIASHARA MAHARUFU
Posted on by Unknown
Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, aliyevujisha picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa ndani ya harusi hiyo.picha hizi zilipigwa kwa simu