Aliyekuwa mshindi wa shindano la Bog Brother Africa Mr Morogoro ataanza kuonekana,kwenye Chennel Mpya TV 1 inayorusha matangazo yake kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes..kipindi hicho kinajulikana kama Boys Boys Endelea kufatilia kwa taarifa zaidi.