Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z NA NAS WAPANDA JUKWAA MOJA



WAIMBAJI wawili magwiji wa miondoko ya Hip Hop kutoka nchini Marekani Jay Z, pamoja na Nas waliwafanyia supries mashabiki wao waliohudhuria tamasha la Coachella lililofanyika Calfornia kwa wiki mbili mfululizo.

Wakati Nas akiendelea kuperform nyimbo zilizo kwenye albam yake ya Illmatic ambayo imetimiza miaka 20 hivi sasa, Jay Z alipanda pia jukwaani na kuimba verse ya ‘Dead President II na kisha kuhamia kwenye ‘Where I’m From’ kutoka kwenye albam yake In My Lifetime Vol.1.

Kabla hajaondoka jukwaaani alimpa shavu Nas.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging