Mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu Los Angeles Clippers Donald Sterling alimueleza rafiki yake wa kike kuwa hataki kuona mpenzi wake huyo akiudhuria kwenye mechi za timu yake akiwa na watu weusi..Kauli hiyo imekuja Baada ya Donald Sterling kuona baachi ya picha za mpenzi wake,kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram
Kwa mijibu wa mtandao wa TMZ V. Stiviano ambaye ni Mmarekani mweusi na pia mwenye asili ya Mexico ameonekana akiwa amechukizwa na kauli za bwana ake huyo,Inasemekana Donald Sterling alichukizwa sana mara ya mpenzi wake huyo kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mchezaji wa mpira wa kikapu wa zamani Magic Johnson .
Mara baada kuhojiwa na Tmz Donald Sterling amekana kusema yeye si mbaguzi wa Rangi.