Anatangaza vitu vya uongo eti Kanumba alikuwa Freemason kitu cha uongo kabisa, marehemu Kanumba alikuwa rafiki yangu na mtu wa karibu hakuwa mtu wa ajabu, unaweza kupata kesi kwa mwendawazimu kama huyo,”anasema Patcho.
Patcho Mwamba anasema kuwa watu kama hawa wanaweza kusababisha matatizo, hata kuua kwa sababu ya ujinga wa watu hao, msanii huyo alisema kuwa anamsikia tu kupitia vyombo vya habari lakini kama siku anajaribu kuongea ujinga huo na yeye akiwepo basi anaweza kufanya kitu kibaya sana ili mtu huyo akome na kuachana na tabia hiyo.