Ingawa katika picha hiyo hakuonesha ni video ya wimbo gani, lakini picha hizo zinaonesha majibu kwa mashabiki wake, kuwa wakae mkao wa kula.
Subira ya mashabiki hao wa Ray C inaelekea ukingoni huku hamu ya kusikia sauti yake tena ikiongezeka kila anapo-tease ujio wake.
Hivi karibuni, Ray C amepost kwenye Instagram picha ambazo zinaonekana kuwa ni maalum kwa ajili ya utambulisho wa ujio wa kazi zake huku maandishi yake kwenye post moja yakiashiria huenda picha hizo zikawa ni sehemu ya video ya wimbo wake.
“Behind the seen @albertmanifester kazi imeanza mashallah sauti tamu itaanza kusikika soon!!!!!!!Thank you lord.” Ameandika Ray C.