ADAMU KUZIKWA KESHO
MWILI wa marehemu Muigizaji na muongozaji wa filamu Tanzania, Adamu Kuambiana unatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Pro-24, Mwenyekiti wa Bongo Movi Steven Nyerere alieleza ratiba nzima ya maziko ya msanii huyo








