Google PlusRSS FeedEmail

BATULI ATOA LAKE LA MOYONI

                                         

Msanii wa kike wa filamu hapa Nchini Yobnesh Yusuph Batuli amewaataka wasanii wenzake nwa kike kuachana na mambo ya kuvaa nguo nusu uchi ili waweze kulinda heshima yao.
Alisema kuvaa nisu uchi ni kujidhalilisha na hivyo hakuna faida wanayopata wasanii wenye tabia hizo

                               
kwa sasa bmambo ya kuvaa nguo fupi yamepitwa na wakati na hivyo msanii anatakiwa kuwa nadhifu ili kuhakikisha anapata mashabiki wengi'alisema wasanii wa kike wanatakiwa kujisheshimu kwa kiasi kikubwa ili waweze kufikia malengo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging