Google PlusRSS FeedEmail

MZEE CHILO AWAFUNDA WASANII WENZAKE

Mkongwe wa filamu Nchini Amiri Sathuman' Mzee Chilo ' amewaasa wasanii wenzake kufanya kazi kwa kuzingatia maadili yaliyowekwa na bodi ya filamu Nchini..
Aliongeza kwa kusema kuwa kuna baadhi ya wasanii hapa nchini wanakiuka maadili yaliyowekwa na bodi ya filamu na kuwafanya kufungiwa kazi zao kila wakati

Mzee Chillo alisema bodi hiyo imewekwa kwa ajili ya kukagua kazi za sanaaya filamu na michezo ya kuigiza ,hivyo kama wasanii hawatazingatia kanuni zilizowekwa basi watakuwa wakifungiwa kazi zao.aliongeza kuwa wasanii wengi wamekuwa wakilalamika kufungiwa kazi zao wakati zazi zao zinakuwa zimekiuka maadili yaliyowekwa.alishauri kwa kusema msaanii ni kioo cha jamii na ni vyema wasanii wakazingatia maadili

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging