Google PlusRSS FeedEmail

DUDU BAYA SASA KUWAKEMEA WACHUNGAJI,MAPADRI,NA MASHEHE

                          
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Godfrey Tumaini ''Dudu Baya'' amesema anatarajia kuja kivingine na wimbo wake mpya wa shetani.wimbo huo ambao tayari umeshaanza kusikika katika baadhi ya vituo vya Radio hapa Nchini

Dudu baya amesema wimbo huo unazungumzia  mambo mengi katika Jamiii hii Tanzania.
 
Ameongeza kuwa katika wimbo huo amekemea vitu vingi viovu hasa vinavyofanywa na viongozi wa dini kama Mapadri,wachungaji ,maaskofu ,mashehe na watawa..
Aliongeza kuwa kwa sasa amepania kuja kivingine ili kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wake
Tayari wimbo huo umeshaanza kuasikika katika baadhi ya vituo vya Radio hapa nchini

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging