Google PlusRSS FeedEmail

LOUSIKA AANIKA UJAUZITO WAKE

                                        
Accra Ghana - Mara baada ya kupotea kwa muda kwenye anga za muziki ,Lousika ameibuka na kutupia picha zake katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa mjamzito


Mwanamuziki huyonalipotea jukwaani mienzi michache iliyopita mara baada tu ya kufunga ndoa..

katika picha hiyo Lousika ameonekana akiwa mjamzito huku akionekana akiwa na afya njema .

ameongeza kwa kusema mienzi mitatu iliyopita hali yake ilikuwa tete lakini sasa yupo fiti ingawa hawezi kurudi jukwaani mpaka atakapo jifungua  aliskika akisema '' Nitarudi jukwaani kishakuwa mama kamili ,niombeeni nijifungue salama then nitarudi jukwaani kwa ajili ya kuwapa burudani..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging