Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop , Nay wa Mitego. Mwanadada huyo amesema kuwa hata na number ya Nay wa Mitego haijui
Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao.