Google PlusRSS FeedEmail

KUMBUKUMBU YA MANGWEA

Ilikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuamini kama ni kweli Mangwea kafariki dunia,zilianza taratibu za kuthibitisha taarifa hizi ambapo baadae ilithibitika kweli Mangwea amefariki dunia.
 Ilikuwa ni siku ya kuhuzunisha, katika picha aliyekuwa rafiki yake mkubwa Ngwea, Mto the P, ambaye ndiye mtu wa mwisho kuwa na marehemu hadi alipokutwa na umaiti, akiwa akishikiriwa na baadhi ya ndugu wa karibu, wakati akimuaga msanii huyo mjini Morogoro.
Mwili wa marehemu Mangwea ulipowasili nchini, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging