Hii picha ilipigwa nyuma ya jukwaa juzi ambapo inamwonesha Rhanna akiwa
ameshikwa makatlio na mwanamke aliyesimama upande wake wa kushoto. Picha
hii ilipigwa katika usiku wa ubunifu wa mavazi unaofanyika kila mwaka
nchini Marekani.
Dada huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa
wazi alimshika Rihanna makalio huku mwenzie alieko upande wa kulia mwa
Rih akimshika mkono. Kweli duniani kuna mambo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.