Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA PICHA ZA UCHI ZAMPONZA KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

Siku chache baada ya kuondoa picha yake ya gazeti la Lui Magazine, mtandao wa Instagram ulifuta na kufunga akaunti ya Rihanna, katika akaunti hiyo Rihanna alikuwa na wafuasi milioni 12.8  wanaomfuatilia jambo ambalo lilimfanya kuwa ni mtu watatu duniani anafuatiliwa sana katika mtandao huo.

Kim Kardashian ambaye anafuatiliwa na watu milioni 14 ndie wapili huku akimfuata Justin Bieber anayeongoza kwa kuwa na wafuasi milioni 15.7. Siku ambayo picha za Rihanna zilipoondolewa katika mtandao, aliweka picha nyingine inayoonekana hapo kushoto.

Hata hivyo akaunti hiyo ilifunguliwa baada ya mashabiki wa Rihanna kulipuka kwa hasirika.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging