Google PlusRSS FeedEmail

BHITZ YARUDI UPYA KWENYE GEMU

Ile ladha ya timu kali ya B’Hitz ilitajwa na wengi kama timu bora ya wasanii na watayarishaji wa muziki kuwahi kutokea Tanzania imerudishwa tena kwa mashabiki.

BHitz imeachia wimbo mpya uliofanywa na wasanii wa zamani wa label hiyo, unaitwa ‘Chapa Mtaa’ ambao umewashirikisha wakali hao.

MRap Lion, DJ Choka, Gosby, Mabeste na Deddy.

Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Pancho Latino na Hermy B.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging