Google PlusRSS FeedEmail

BIFU LA WEMA NA KAJALA LAMALIZIKA

                               http://3.bp.blogspot.com/-MQrrUMrC7QU/UclJ5LmVoMI/AAAAAAAAjb0/AxbTHWM-BeU/s1600/kay_ake.PNG
Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakini ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza vichwa vya habari kila kukicha  hapa Tanzania  katika  Social media hatimae wawili hao  wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging