Mkali wa filamu na muziki wenye asili ya mduara hapa Nchini Tanzania Zuwena Muhamed ‘Shishi’ ambaye aliwahi kulalamika juu ya kuibiwa wazo lake la wimbo wa ‘Kanitangaze’ ikiwa Nakomaa na Jiji ndio shina la mafanikio ya muziki wa shilole.
Mbali na mambo ya muziki Shilole sasa kajiunga na kuwa mwanachama wa Kampuni ya ‘Wanawake tunaweza’ ikiwa ni kutokana juhudi za kimaendeleo ambazo shilole huzionesha kwenye game la muzilki akiwa kama mtoto wa kike.