Google PlusRSS FeedEmail

CIARA AMWANIKA MWANAE KWENYE MTANDAO WA KIJAMAMII

                       
Mwanamuziki Ciara ameposti kwa mara nyingine picha ya mtoto wake mchanga wa kiume mwenye umri zaidi ya mwezi mmoja sasa,ambaye ameshambatiza kwa jina la Future,Caiara aliachia picha hiyo kupitia kwenye mtandao wa kijamii mtoto ambaye alizaa na rapper mwenye jina hilo hilo la future
This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging