Google PlusRSS FeedEmail

JE NEY WA MITEGO KUTOA ZEPHER THE DON?

                            
Nyota wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego amembeba chipukizi Zepher ze Don katika singo mpya inayojulikana kwa jina Inatosha

Don akizungumza na Pro 24 mwishoni mwa wiki hii amesema pamoja na uchanga wake lakini ameshatoa singo mbali mbali zinazosikika kwenye Radio za kand za nyanda za juu zikiwemo Radio  nyimbo ambazo ni kiroho, safii,my love, na say yeah..

Aliongeza kuwa kumshirikisha Ney wa mitego katika single yake hiyo hakika itamuweka katika nafasi nzuri kimuziki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging