Google PlusRSS FeedEmail

GODZILA & G- NAKO KATIKA SINGLE MPYA "NISOME"

                                      Rapper Godzila amemshirikisha mkali mwenzie latika Tasnia ya muziki Nchini G- nako katika Single yake mpya "Nisome"
akichat na safu hii juzi Godzila alisema singo hiyo tayari imekamilika na wiki hii itaanza kusikika katika vituo mbali mbali vya radio hapa nchini

"Namshukuru mola kwa kuweza kukamilisha kazi yangu hii pia G- Nako naye amefanya kazi yake vyema na nimefarijika sana kwa kunipa ushirikiano wa hali ya juu kwa kunipa tafu kwa kuingiza baadhi ya mashairi yake ndani ya Nisome alisema "Godzila"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging