Google PlusRSS FeedEmail

50 CENT KUACHIA ALBAMU MPYA SEPTEMBER 16

                       
Rapper 50 Cent ametangaza kuwa albamu yake mpya ya sita ambayo ameshaibatiza kwa jina la "Street Immortal "amesema anatarajia albamu hiyo itatoka september 16,kwanini itokae siku hiyo alisema kuwa september 16,ndio siku ambayo mshirika wake wa zamani ambaye aligeuka kuwa hasimu wake..The game pia nae anatarajia kuaachia albamu yake ya Blood Money la Familia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging