Google PlusRSS FeedEmail

JUSTINE & SERENA WAMRUDIA MUUMBA

Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez Jumatano hii walihudhuria masomo ya biblia pamoja.
Wawili hao waliorudiana hivi karibuni walionekana kwenye kanisa la huko jijini Los Angeles chini Pastor Judah Smith. Vyanzo vimedai kuwa masomo hayo ya biblia yanaonekana kumbadilisha Bieber na ameonekana kuwa na amani na mwenye furaha

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging