Google PlusRSS FeedEmail

KIBONZO CHA SIKU


                  hizi ni nukuu za mwalimu nyerere nukuu ya kwaza 1994: chama legelege huzaa viongozi legelege: nukuu ya pili 1995; anayelaumu kuenguliwa kwa kikwete kugombea nafasi ya uraisi amchukue wakanywe naye chai na kupiga nae pic: nukuu ya tatu 1995; watanzania wasipo pata mabadiliko ndani ya ccm watayapata nje ya ccm.. 

tunashukuru nyerere maneno yako  yametimia na sasa chama chako ccm hawana ajenda ama sera nyingine kwa wananchi zaidi ya kutoa rushwa ili washinde... na wote akili zinafanana hakuna mwenye mawazo mbadala na ndomaan wanasamehe kodi matrion ya pesa halafu wanakopa bajeti ya kuendesha serikali,, sasa najiuliza unawezaje kusamehe kodi wakati unajua bajeti iliyotengwa haitoshelezi huku madeni yako ni trion 29 ?

kwa hili inanilizisha kusema hakuna kiongozi hata mmoja wa ccm mweye akili timamu....!!!
Kibonzo cha siku

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging