Google PlusRSS FeedEmail

ALLY KIBA KUJA UPYA

                                
Nyota wa muziki wa kizazi kipya  Nchini Ally Kiba amesema yuko katika hatua za mwisho za kusambaza ngoma yake inayojulikana kwa jina la Dar es salaam ambayo anaamini itafanya vyema kwa mashabiki,Ameongeza kwa kusema vijana wa Kitanzania wanapata shida sana kutokana na janga la madawa ya kulevya,na wengine hujikuta wametumbukia katika janga bila ya wao kujijua..
Mbali na kazi hiyo Kiba ameshawai kutamba na ngoma kibao ambazo zilifanya vyema sokoni

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging