Google PlusRSS FeedEmail

MERCY JOHNSON

                            
Ni mmoja wa waigizaji wanawake Nollywood ambaye ana mvuto wa aina yake,mara nyingi hupenda kuigiza kama mfanyakazi wa ndani au mtu masikini wa kutupwa,ila kihalisia Mercy ni Tajiri ni mmoja kati ya wacheza filamu wa kike mwenye kipato kikubwa,alizaliwa mwaka 1984 katika familia ya ofisa wa jeshi la wanamaji la Nigeria.Bwana Daniel Johnson.,na alifanikiwa kuingia katika fani ya uigizaji mnamo mwaka 2004,.kati ya filamu zilizompatia umaharufu mkubwa ni filamu ya Youth,mwaka 2011 aliolewa na mfanyabiashara mkubwa Prince Odianosen Okojie na tayari wameshapata mototo mmoja wa kike..
                                        

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging