Google PlusRSS FeedEmail

OMOTOLA ALINGA NA CHETI CHAKE CHA DARASA LA SABA

Muigizaji wa kike wa Nollywood, Omotola Jalade amezua alama za kuuliza kwa mashabiki wake baada ya kuamua kupost kwenye mtandao cheti chake cha kumaliza shule ya msingi mwka 1987 (leaving certificate) kwa lengo la kuonesha jinsi alivyokuwa na akili tangu zamani.

Omotola amefanya hivyo kuwaonesha watu kuwa amekuwa mtu anaefanya vizuri sio tu kwenye tasnia ya filamu lakini pia hata kwenye masomo yake ya awali ambapo maelezo ya mwalimu mkuu wake kwenye cheti hicho yanaonesha kuwa alimaliza shule akiwa anafanya vizuri sana. Lakini majigambo kwa cheti cha darasa la saba cha mwaka 1987, leo…

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging