Google PlusRSS FeedEmail

SITUMII UCHAWI KUPATA UMAHARUFU

                                      
Mwigizaji wa kike wa filamu Bongo anayeng’ara amefunguka kwa kusema kuwa hatumii ndumba kuwa maarufu, wala hana muda wa kutafuta umaarufu kwa njia giza bali anaishi kama msanii nyota na kuwapa watu kitu wanachotaka kwa wakati.

 “Kuwa Star si kitu kidogo kwani kila mtu anakutazama wewe, hivyo lazima uwe makini kucheza nao, kuna watu wanaamini kuwa maarufu uende kwa waganga, lakini mimi sijawahi ila kuna wakati naweza kufanya dua na kutoa sadaka tu,”anasema Wema.

Wema msanii ambaye ni maarufu na jina lake linavuma kuliko msanii mwingine wa kike katika tasnia ya filamu Bongo, amekuwa na historia ya kuwang’arisha wasanii anaokuwa nao karibu, jambo ambalo limezua minong’ono huwenda mwanadada huyo anatumia ndumba.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging