Google PlusRSS FeedEmail

LIL WAYNE ACHOCHEA UHUSIANO MPYA

Rapper Lil Wayne na mwimbaji Christina Milian walikanusha tetesi za kuwa wapenzi baada ya kuonekana usiku mnene kwenye gari moja, lakini wawili hao wameendelea kuchochea kuni kwenye tetesi hizo.

Lil Wayne ameendelea kuonekana akiwa na ukaribu zaidi na Chistina Milian na walihudhuria pamoja tuzo za michezo za ESPY juzi kama couple. Kamera za paparazzi ziliwanasa mara kwa mara wakienjoy show ambayo Drake alikuwa host.

Tetesi za uhusiano kati ya Weezy na mrembo huyo zinahusishwa na mistari ya kwenye wimbo wake inayoonekana kumchana aliyekuwa boyfriend wa Milian, Jas Prince siku kadhaa baada ya kuachana.

Huku akitaja jina lililochukuliwa kama kifupi cha mrembo huyo. “Tina (Kifupi cha Christina) Turn Up Need a Tune-Up’.”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging