Google PlusRSS FeedEmail

T.I NA MKEWE WAMJIBU FLOYDBondia Floyd Mayweather alisikika kwenye chombo cha habari kimoja kupitia audia akijibu swali aliloulizwa kuhusu T.I na yeye akajibu kwa lugha kali kuwa alikuwa anachepuka na mkewe, lakini baadae alikanusha kupitia Instagram akidai sehemu ya sauti hiyo ilikatwa ili asikike hivyo.

“What about her b****….I was F****** his B**ch,” ndio kauli ya May Weather na baadae yeye akajitetea kuwa alisema “he thinks that I was f**** his b*****.”

T.I na mkewe waongea na TMZ na kutolea majibu kauli hizo tata za Floyd Maywether ambapo mkewe alisema anadhani Floyd alitaka kulipiza kutokana na kitendo cha kumkaushia kwenye red carpet ya tuzo za BET. Lakini T.I aliipotezea na kusema anadhani alikuwa anajifurahisha na kumuombea baraka.

“I hope he is enjoying himself. God bless him.” Alisema T.I.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging