Google PlusRSS FeedEmail

JE WASANII WA KIKE WANAJIZEESHA?

bn             Blandina Chagula
MSANII mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ ametamba kuwa amelinda muonekano wake na kuonekana bado kijana tofauti na wasanii wa kike wengine ambao wanaonekana umri umeenda japo ni wasichana wadogo, lakini wanaonekana akina mama watu wazima.

“Wasanii wa kike wengi ni watoto wadogo lakini kwa sababu ya kujiachia wanaonekana kama watu wazima lakini ukweli ni watoto wadogo sana, namshukru Mungu nimeanza sanaa kitambo lakini mwili wangu upo fiti,”anatamba Johari.


Akitolea mfano alisema kuwa msanii kama Irene Uwoya anaonekana mkubwa kwake lakini ni mdogo wake mbali, Johari anasema kuwa alikuwa ameamua kuwa mtayarishaji tu, lakini anarudi tena kama mwigizaji baada ya kuona wasanii wengi viwango vyao ni vya kawaida sana katika uigizaji.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging