Google PlusRSS FeedEmail

MCHEZA SARAKASI AKATALIWA KUINGIA DUBAI

Mwanamume wa Ujerumani ambaye anaongoza rikodi ya dunia kuwa na mwili uliotogwa mara nyingi kabisa ameketaliwa ruhusa ya kuingia Dubai, baada ya kwenda huko kutokeza katika klabu ya starehe.

Rolf Buchholz, ametogwa mwahala 453 kwenye mwili na uso wake na ana pembe mbili kwenye kipaji. Ameeleza kwenye mitandao ya kijamii kuwa alikataliwa na maafisa wa uwanja wa ndege kuingia nchini kwa sababu, kama alivosema, alikuwa "mchawi".

Bwana Buchholz ameapa kuwa hatarudi tena Falme za Kiarabu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging