 |
Msanii wa bongo fleva, Omary
Nyembo 'Ommy
Dimpoz',
akiimba katika tamasha la Serengeti fiesta
katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na
Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager. |
 |
Msanii wa muziki wa bongo fleva
, Barnaba boy akifanya vitu vyake katika tamasha la Serengeti fiesta katika
uwanja wa kaitaba mjini Bukoba jana jioni.
Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya
Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager |
Mmoja wa wasanii waliong’ara katika tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika juzi, Ney wa Mitego akikonga nyoyo za mashabiki katika tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba jana jioni. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.