Google PlusRSS FeedEmail

MKE WA AFANDE SELLE AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mke wa msanii wa Hip Hop na Mfaleme wa Rymes Nchini Afande Selle,mama tunda amefariki Dunia..
Kupitia ukurasa wa facebook Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe pema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging