Google PlusRSS FeedEmail

OCTOPIZZO ATOA OFA KWA MASHABIKI

Rapper wa Kenya, Octopizzo ameenda nchini Uigereza kwa lengo la kuendelea kupromote muziki wake barani Ulaya.

Rapper huyo ameingia Uingereza siku chache baada ya kutoka Ujerumani alikomaliza kushuti video ya wimbo wake ‘Salute Me’ aliyomshirikisha M.I.

Octopizzo ametua katika jiji la club maarufu ya Manchester United na kuamua kutoa ofa kwa mashabiki wa club hiyo wanaomuelewa hasa Afrika kuwa wamtumie maombi na yeye atawatupitia picha anazopiga katika uwanja ambao mashabiki hao wanaupenda zaidi ‘Old Trafford’.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging