Google PlusRSS FeedEmail

ROBBIN WILLIAMS AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI MIAKA 63

                           



Aliyekuwa mcheza filamu na mchekeshaji kutoka huko Hollywood Robbin Williams amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 63,Kwa mujibu wa police wa kitongoji cha Marin County ,Calif,wanasema

Mwili wake umekutwa nyumbani kwake huko Tiburon California na watu wa karibu wanasema alikuwa anasumbuliwa na msongo wa mawazo hivi karibuni.

Taarifa za mwanzo zinasema kuwa inasadika kuwa alijiua kutokana na msongo wa mawazo na utumiaji wa dawa za kulevya na utumiaji mkubwa wa pombe.


Enzi za uhai wake aliwai kushiriki kwenye movie kama The Fisher King,Good will Hunting,Jumanji,Popeye nk . Pia alishinda tuzo kama Academy,Golden Globe,Emmy,Grammy na nyinginezo kwa wakati tofauti.







This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging