Google PlusRSS FeedEmail

T.I AJIINGIZA NDANI YA BEEF LA LIL KIM NA NICKI MINAJBeef kati ya Lil Kim na Nicki Minaj linaendelea kuwaka na hivi karibuni rappers hao wa kike wamerushiana michale ya maneno kupitia remix ya wimbo wa Beyonce ‘Flawless’.

Siku chache baada ya Lil Kim kujibu mashairi ya Nicki Minaj kwa kuachia Flawless Remix yenye verse yake ndani, aliachia wimbo mwingine unaoitwa ‘Identity Theft’ ambao unachukuliwa kama kombora lingine.

Rapper T.I amezungumzia beef la rappers hao wakati akiongea na Billboard na kueleza kuwa hali kama hiyo huwa inatokea hata kati ya rappers wa kiume na kwamba japo hafahamu lilipoanzia anaona kidogo liko complicated.

“This is something that can happen to men too. Just because you heard another person say that you gonna be on edge,” he explains. “I feel like that’s more of the case with Kim and Nicki, even though I don’t know what started any of this, it’s a little more complicated to put to bed because of that fact.”
This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging