Google PlusRSS FeedEmail

ALICHOAMUA BRITNEY BAADA YA KUONA VIDEO YA MOENZI WAKE AKILA URODA NA MWANAMKE MWINGINE

Mwimbaji Britney Spears amevunjwa moyo baada ya kushuhudia kipande cha video kilichovujishwa kikimuonesha mpenzi wake David Lucado akimsaliti na msichana ambaye hakutambulika kwa haraka.
Katika video hiyo, David Lucado anaonekana akicheza na msichana huyo huku akimkiss kama wanaigiza filamu ya mahaba na wao ndio wahusika wakuu.
Britney Spears ameshindwa kuvumilia alichokiona na ameamua kumpiga chini Lucado na hivi ni single girl.
“Aahhhh! The Single life.” Ametweet Britney.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging